• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Hazard atua Dotmund kwa dau la Pauni milioni 30

  (GMT+08:00) 2019-05-24 09:29:47

  Klabu ya Borrusia Dortmund imekamilisha uhamisho wa mdogo wake Eden Hazard anayeitwa Thorgan kutoka kwa wapinzani wao wa Bundesliga, Borussia Monchengladbach.

  Thorgan mwenye umri wa miaka 26 amesaini kwa dau la pauni milioni 30. Akiwashukuru klabu yake ya zamani, Thorgan amesema miaka mitano aliyochezea klabu hiyo alipata mafanikio makubwa na kujifunza mengi, ameahidi kuendelea kufanya vizuri na klabu yake mpya ili wasijutie kumsajili.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako