• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Umoja wa Mataifa kuunga mkono uzalishaji wa sandarusi na gundi barani Afrika

  (GMT+08:00) 2019-05-24 09:49:52

  Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa jana limesema, linapanga kuunga mkono uzalishaji wa sandarusi na gundi barani Afrika.

  Afisa wa Shirika hilo anayeshughulikia mambo ya miti Bw. Edward Kilawe amesema, Shirika hilo litatoa misaada kwa kupitia kamati ya Umoja wa Afrika.

  Bw. Kilawe alibainisha kwamba hatua hiyo itasaidia kubadilishana taarifa kuhusu uzalishaji na biashara, mafunzo na kuhamisha tekenolojia.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako