• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mazungumzo na mawasiliano kwenye msingi wa usawa ni njia pekee ya kutatua mgogoro wowote kati ya China na Marekani

  (GMT+08:00) 2019-05-25 16:51:03

  Balozi wa China nchini Marekani Bw. Cui Tiankai jana alihojiwa na kituo cha televisheni cha Marekani Bloomberg akisema kuwa, mazungumzo na mawasiliano yaliyo chini ya msingi wa usawa ndio njia pekee ya kutatua mgogoro wowote kati ya China na Marekani.

  Bw. Cui Tiankai amesema, sababu ya kuwepo kwa sintofahamu kwenye mazungumzo ya uchumi na biashara kati ya China na Marekani ni kutokana na Marekani kubadilisha msimamo wake mara kwa mara. Amesisitiza kuwa msimamo wa China siku zote haubadiliki, lakini wa Marekani umekuwa ukibadilika badilika hata hivyo amesema China itaendelea kujitahidi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako