• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Jeshi la Syria lawaua waasi 28 katika mji uliokombolewa mkoani Hama

  (GMT+08:00) 2019-05-27 09:56:48

  Waasi wasiopungua 28 wameuawa na jeshi la Syria katika viunga vya mji wa Kafr Nabudah, kaskazini magharibi mwa mkoa wa Hama, katikati ya Syria. Kwa mujibu wa Shirika la Uangalizi wa Haki za Binadamu la Syria, hili ni shambulizi la pili lililofanywa na jeshi la Syria mjini humo ndani ya wiki moja. Jeshi la Syria limeudhibiti mji huo muhimu baada ya kupambana na kundi la HTS lenye uhusiano na kundi la Al-Qaida.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako