• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Saudi Arabia yatungua ndege isiyo na rubani iliyolenga uwanja wa ndege huko Jazan

  (GMT+08:00) 2019-05-27 09:57:08

  Saudi Arabia imetungua ndege isiyo na rubani iliyokuwa na mabomu iliyorushwa na kundi la Houthi kulenga uwanja wa ndege wa King Abdullah bin Abdulazizi. Msemaji wa muungano wa jeshi unaoongozwa na Saudi Arabia wa kupambana na waasi wa Houthi nchini Yemen Turki Al Maliki amekosoa kundi hilo kwa kuwalenga kwa makusudi watu wa tabaka la juu, raia wa kawaida na vifaa vya kiraia, na kutaka wapiganaji hao wanaoungwa mkono na Iran kuacha mashambulizi yao, la sivyo yatajibiwa vikali.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako