• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Emir wa Qatar apokea mwaliko wa mfalme wa Saudi Arabia kushiriki kwenye mkutano wa kilele wa GCC

  (GMT+08:00) 2019-05-27 09:57:31

  Shirika la habari la taifa la Qatar QNA limesema Emir wa Qatar Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani amepokea mwaliko kutoka kwa mfalme wa Saudi Arabia Salman bin Abdulazizi Al Saud kushiriki kwenye mkutano wa kilele wa Baraza la Ushirikino wa Nchi za Ghuba GCC uliopangwa kufanyika Mei, 30 mjini Mecca. Haya ni mawasiliano ya kwanza ya ngazi ya juu kati ya nchi hizo mbili tangu Saudi Arabia, Umoja wa Falme za Kiarabu, Bahrain na Misri kusimamisha uhusiano wa kibalozi na Qatar mwezi Juni mwaka 2017, na kuweka vikwazo dhidi ya nchi hiyo kwa kuishutuma kuuunga mkono ugaidi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako