• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • KENYA: TULLOW OIL kuongeza idadi ya lori za kusafirisha mafuta

    (GMT+08:00) 2019-05-27 18:58:20

    Kampuni ya mafuta ya Tullow Oil inapania kuongeza idadi ya lori za kusafirisha mafuta kutoka Turakana hadi Mombasa, mweiz ujao. Kwa sasa ni lori 30 pekee na huenda lori hizi zikaongezwa hadi 100. Hii inatokana na kuongezeak kwa mafuta yanayozalishwa kila siku, katika eneo la Turkana. Hii ni habari njema kwa walio na kandarasi ya kukodi lori zao kusafirisha mafuta haya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako