• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • UGANDA: Miji mikuu mipya itakuza utalii

    (GMT+08:00) 2019-05-27 19:06:41

    Baraza la mawaziri la Uganda lilitanga kuwa Uganda itakuwa na miji mingine mikuu hivi karibuni. Taarifa hiyo ya wiki jana iliyopokelewa kwa furaha na waganda, inasema kwamba miji kama vile Arua, Mbarara, Gulu, Fort Portal na Jinja itapandishwa hadhi na kuwa miji mikuu.

    Miji hii ambayo itatambuliwa rasmi kuwa miji mikuu kuanzia tarehe mosi, mwezi Julai mwaka 2021, itasaidia sana katika ukuaji na ustawishaji wa utalii nchini Uganda. Uganda imekuwa na jiji kuu la Kampala pekee, hivyo shughuli nyingi hufanyuika pole pole. Kulingana na ripoti za serikali, asilimia 67 ya biashara za Uganda hufanyika jijini Kampala. Hii imeathiri sana ustawi wa jiji hili na kulemeza maendeleo mengi.

    Miji mipya ina maana kwamba biashara zitaimarika n ahata kupunguza idadi ya watu kati jiji la Kampala.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako