• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • DRC yaanza kutoa chanjo ya kipindupindu kwa watu zaidi ya laki 8

    (GMT+08:00) 2019-05-28 08:50:26

    Shirika la Afya Duniani (WHO) jana limesema, operesheni ya kutoa chanjo ya kipindupindu imeanza nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Cong (DRC), na watu zaidi ya laki 8 wanatarajiwa kupewa chanjo hiyo, ambapo kuanzia mwezi January, watu zaidi ya 10,000 waliambukizwa ugonjwa huo na kati yao, watu 240 walifariki.

    WHO imesema, operesheni hiyo imezinduliwa kwenye jimbo la Kivu Kaskazini, mashariki mwa DRC, ambalo pia ni chimbuko la mlipuko wa ugonjwa wa Ebola.

    Operesheni hiyo inatekelezwa na wizara ya afya ya DRC, kwa kuungwa mkono na WHO na wadau wengine wa afya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako