• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Palestina asema mpango wa amani wa Mashariki ya Kati wa Marekani "ni wa kinjozi"

    (GMT+08:00) 2019-05-28 09:10:26

    Rais Mahmoud Abbas wa Palestina amesema "Makubaliano ya Karne" yaliyopendekezwa na Marekani na mkutano uliopangwa kufanyika Juni, 25 nchini Bahrain "ni ya kinjozi". Amesema njozi hizo hazitaweza kuwafikisha watu wa Palestina popote, na hawahitaji msaada kwani wanaweza kujenga taifa lao wenyewe. Ameongeza kuwa suala la Palestina linatakiwa kutatuliwa kwa njia ya kisiasa, na lengo lake la mwisho ni ujenzi wa taifa huru la Palestina na mji wake mkuu ukiwa Jerusalem.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako