• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tume ya Uwekezaji Ethiopia yazindua jukwaa la mtandaoni kwa wawekezaji wa China

    (GMT+08:00) 2019-05-28 19:48:13
    Tume ya Uwekezaji ya Ethiopia imezindua jukwaa la mtandaoni ambapo wawekezaji wanaweza kutuma maombi ya kibali cha uwekezaji.
    Kamishna wa Uwekezaji Ethiopia,Abebe Abebayehu,kupitia mtandao wa twitter,amesema jukwaa hilo pia linawezesha usimamizi wa mtandaoni wa mipango ya uwekezaji.
    Tume hiyo pia ilizindua mtandao wa lugha ya kichina ambao unatarajiwa kutoa habari za mara kwa mara kwa wawekezaji wa kichina.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako