• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wananchi wa China hawafurahi kuona madini ya udongo adimu yanayouzwa nje kutumiwa kuzuia maendeleo ya China

    (GMT+08:00) 2019-05-29 09:03:44
    China imesema kuwa haiwezi kukubali maendeleo yake kungadamizwa na bidhaa za hali ya juu za kigeni zinazozalishwa kwa kutumia madini adimu (Rare earth) yanayozalishwa China.

    Afisa wa Tume ya Taifa ya Maendeleo na Marekebisho alisema hayo wakati akijibu waandishi wa habari kuhuhu iwapo madini ya China yatatumika kama mojawepo wa hatua za kukabili Marekani dhidi ya China.

    Madini adimu hutumika kuzalisha vifaa mbalimbali vya teknolojia ya juu, ikiwa ni pamoja na betri za simu, simu za kisasa, injini za ndege, na vifaa vya matibabu kama mashine za MRI.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako