• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mjumbe wa UM aona mwitikio mzuri kuhusu mkutano wa kilele wa mabadiliko ya hali ya hewa

  (GMT+08:00) 2019-05-29 09:06:23

  Mjumbe maalumu wa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu mkutano ujao wa kilele wa mabadiliko ya hali ya hewa Luis Alfonso de Alba amesema nchi mbalimbali zimeeleza kupenda kushiriki katika mkutano huo. Amesema kuna nchi 18 zinazoendesha kwa pamoja mashirikisho na pia zaidi ya nchi 40 zinashiriki kwenye mashirikisho hayo yanayopitia hatua halisi zinazoweza kuwasilishwa kwenye mkutano huo wa kilele. Ameongeza kuwa nchi hizo zimeeleza kukubali kubadili majadiliano kuwa hatua halisi za utekelezaji.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako