• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping kufanya ziara nchini Russia

    (GMT+08:00) 2019-05-29 19:10:48

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Lu Kang, amesema rais Xi Jinping wa China atafanya ziara nchini Russia kuanzia tarehe 5 hadi tarehe 7 Juni, na kuhudhuria baraza la 23 la uchumi la kimataifa la St. Petersburg.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako