• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mazingira ya kiikolojia ya China yaendelea kuboreshwa

    (GMT+08:00) 2019-05-29 19:11:56

    Wizara ya mazingira ya kiikolojia ya China leo imetoa rasmi taarifa ya hali ya mazingira ya kiikolojia ya China kwa mwaka 2018.

    Taarifa hiyo inaonesha kuwa kiwango cha hali ya hewa na mazingira ya maji ya China kwa mwaka jana kiliboreshwa, tishio la mazingira ya ardhi limedhibitiwa katika hali mwafaka, hali ya mfumo wa viumbeimetulia, na kiwango cha usalama wa nyuklia na mionzi kiliimarishwa, na raia wa China wanaona kihalisi mabadiliko mazuri ya mazingira ya kiikolojia.

    Taarifa hiyo imeeleza habari kuhusu hali ya hewa, maji baridi, bahari, ardhi, mfumo wa viumbe wa asili, sauti, mionzi, mabadiliko ya hali ya hewa na maafa ya asili, miundo mbinu na hali ya nishati.

    Mkurugenzi wa idara ya usimamizi ya mazingira ya asili ya wizara hiyo Bw. Bo Chouyong, amesema wataendelea kufanya juhudi kuzuia uchafuzi wa hali ya hewa, kuendelea kuimarisha hali ya mazingira ya asili na kutoa mazao mazuri ya kimazingira kwa raia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako