• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • KIKAPU: Durant asafiri na Warriors tayari kuwavaa Toronto

    (GMT+08:00) 2019-05-30 09:05:13

    Kelvin Durant amesafiri na timu yake ya Golden State Warriors na kuwasili jijini Toronto Canada tayari kwa mchezo wa kwanza wa fainali ya ligi ya kikapu ya Marekani ijulikanayo kama NBA ambao utachezwa usiku wa leo dhidi ya Toronto Raptors.

    Mara baada ya mchezo huo wa kwanza, timu hizo zitapumzika kwa siku mbili kabla ya kukipiga tena katika mchezo wa pili wa fainali siku ya Jumapili.

    Durant hakuweza kusafiri na timu yake walipocheza mchezo wa fainali wa makundi dhidi ya Trail Blazers kutokana na kuumia mguu katika mechi dhidi ya Rockets.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako