• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Bodi ya ligi yakiri kuchemka, yaishusha Stand United, Kagera Sugar yapenya tundu la sindano

    (GMT+08:00) 2019-05-30 09:07:35

    Bodi ya ligi Tanzania (TPLB) imetangaza kufanya marekebisho kwenye msimamo wa ligi kuu huku ikisema itachukua hatua kwa watunza takwimu wake waliopotosha.

    Awali ilionekana Kagera Sugar ndio inateremka daraja lakini Mkurugenzi wa bodi hiyo, Boniface Wambura amesema marekebisho waliyofanya, klabu ya Stand United ndio inashuka daraja badala ya Kagera Sugar.

    Kwa maana hiyo, Kagera Sugar itaivaa Pamba Juni 2 katika mechi ya Play Off na mshindi atacheza ligi kuu Tanzania bara kumaliza utata mkubwa ulioibuka kwa wadau wa soka.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako