• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • StarTimes yazindua tamasha la kwanza la filamu la Afrika kwenye mtandao

    (GMT+08:00) 2019-05-30 09:09:02

    Ofisa wa kampuni ya StarTimes ya China jana amesema, kampuni hiyo imezindua tamasha la kwanza la filamu la Afrika kwenye mtandao (PAOFF).

    Bw. Ariel Wang kutoka StarTimes ON amesema, tamasha hilo linalofanyika kwenye program ya simu ya StarTimes ON, ni mashindano ya kila robo mwaka ya tuzo za filamu kwenye mtandao, ambayo yako wazi kwa watengenezaji wote wa filamu na video za muziki barani Afrika . 

    Bw. Wang ameeleza matumaini yake kuwa, mashindano hayo yanaweza kuhimiza maendeleo ya utengenezaji wa video kwenye mtandao katika bara hilo, na kuhimiza maendeleo ya sekta ya video kwenye mtandano barani Afrika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako