• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China atoa wito wa kuimarisha mageuzi ili kutatua matatizo makuu

    (GMT+08:00) 2019-05-30 09:33:11

    Rais Xi Jinping wa China ametoa wito wa kuimarisha mageuzi ili kuhudumia maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwa pande zote. Rais Xi alisema hayo jana alipoendesha mkutano wa nane wa kamati kuu ya kuimarisha mageuzi kwa pande zote. Pia amesema mageuzi na maendeleo ya China yanashuhudia mabadiliko ya kina, na yanakabiliwa na sintofahamu nyingi kutoka nje pamoja na mazingira na matatizo mapya yanayohusu mageuzi na maendeleo. Amesisitiza umuhimu wa kudumisha utatuzi wa kimkakati, kutilia mkazo katika kutatua matatizo, kutumia ipasavyo mazingira, kutunga mipango ya jumla, kufanya maamuzi sahihi ya sera na kufanya bidii ili kuzuia na kutatua migogoro mikubwa na masuala makubwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako