• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Boti ya utalii yazama katikati ya Budapest na kusababisha vifo vya watu 7 na wengine 12 hawajulikani walipo

  (GMT+08:00) 2019-05-30 09:33:32

  Watu saba wamefariki na wengine kadhaa hawajulikani walipo mjini Budapest, Hungary baada ya boti mbili za utalii kugongana jana usiku kwenye mto Danube na kusababisha boti moja kuzama. Kwa mujibu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Hungary, boti iliyozama ilikuwa na watu 34. Hadi sasa watu 15 wameokolewa, 7 wamethibitishwa kufa na wengine 12 hawajulikani walipo. Kazi za uokoaji bado zinaendelea na chanzo cha ajali hiyo bado hakijulikani.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako