• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mjumbe maalumu wa UM kuhusu Syria asisitiza suluhu ya kisiasa ya mgogoro

  (GMT+08:00) 2019-05-30 09:33:52

  Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Syria Geir Pedersen amesisitiza msimamo wa Umoja huo wa kutatua kwa njia ya kisiasa mgogoro wa Syria ambao umedumu kwa miaka minane, na kusema hakuna chaguo la suluhu ya kijeshi. Akizungumza na wanahabari katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York baada ya mkutano wa ndani wa Baraza la Usalama kuhusu Syria, Pedersen amesema jamii imegawanyika na kukosa uaminifu, hali inayotakiwa kushughulikiwa, la sivyo, Syria haitaweza kupata amani.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako