• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Bunge la Israel lavunjwa, uchaguzi kufanyika Septemba 17

  (GMT+08:00) 2019-05-30 09:34:13

  Bunge la Israel, The Knesset limepitisha sheria ya kuvunjwa kwake, ikiwa ni chini ya miezi miwili baada ya uchaguzi mkuu kufanyika Aprili, 9. Uchaguzi ujao unatarajiwa kufanyika tarehe 17, Septemba mwaka huu. Sheria hiyo, iliyopitishwa kwa kura 74 za ndio dhidi ya 45 za hapana imekuja baada ya waziri mkuu Benjamin Netanyahu kushindwa kuanzisha serikali mpya ndani ya siku 42 alizopewa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako