• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania na Zambia zapanga kujenga bomba la kusafirisha bidhaa za petroli

    (GMT+08:00) 2019-05-30 18:54:28

    Tanzania na Zambia zinapanga kujenga bomba la kusafirisha bidhaa za petrol kati ya nchi hizo mbili kwa gharama ya dola bilioni 1.5.

    Zambia, ambayo inaongoza kwa uzalishaji wa shaba kote Afrika huagiza bidhaa zake za petroli kutoka mashariki ya kati hasa kupitia kwa bandari ya Dar-es-Salaam nchini Tanzania.

    Waziri wa nishati wa Tanzania Medard Kalemani amesema bomba hilo litakuwa kati ya mji wa Dar es Salaam hadi mjini Ndola, nchini Zambia likiwa na urefu wa kilomita 1.349.

    Hata hivyo Kalemani, hakutaja ni siku gani mradi huo utakapoanzishwa lakini anasema utatekelezwa nan chi hizo mbili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako