• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Serikali ya Uganda yatenga fedha za mradi wa mianzi

    (GMT+08:00) 2019-05-30 18:54:50

    Serikali ya Uganda imetenga shilingi bilioni 290 kuendeleza kilimo cha mianzi bamboo.

    Kilimo hicho kinatarajiwa kuongeza ramlimali za kawi na mali ghafi za kutengeneza karatasi.

    Mshauri wa mradi wa mianzi wa Uganda Dickson Lugooya, amesema kwa sasa nchi hiyo ina ekari 67,000 za mmea huo ambazo ziko kwenye ardhi ya serikali na hifadhi za wanyama pori.

    Lakini sasa chini ya mpango mpya serikali inapanga kuongeza kiwango hicho hadi ekari 375,000 ndani ya miaka 10 ijayo na kuiletea serikali dola milioni 200.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako