• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Uagizaji na uuzaji bidhaa nje wapanda Uganda

    (GMT+08:00) 2019-05-30 18:57:28

    Taakwimu za benki kuu ya Uganda zinaonyesha kuwa nchi hiyo iliagiza bidhaa za dola milioni 874 mwezi Machi ikiwa ni kiwango cha juu zaidi ikilinganishwa na mwezi Februari cha dola milioni 608.

    Bidhaa nyingi ziliazoagizwa ni za madini ambazo zilifikia dola milioni 312 zikifuatiwa na mashine kwa dola milioni 94.

    Mchumi wa chuo kikuu cha Makerere bwana Ramathan Ggoobi, amesema uagizaji wa bidhaa kaama madini ni ishara zuri ya ukuaji kwani inasaidia ukuaji wa kiviwanda.

    Wakti wa kipindi hicho pia kumekuwa na ukuaji wa uuzaji nje wa bidhaa ambazo ulifikia dola milioni 606.

    Kinyume na awali mwezi Machi umekuwa na uuzaji wa juu wa madini ya dhahabu kwa dola milioni 363

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako