• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mashirika ya uwekezaji ya nchi za nje yapiga hatua halisi katika kuingia kwenye soko la China

    (GMT+08:00) 2019-05-30 19:04:40

    Mkuu wa Benki Kuu ya China Bw. Yi Gang leo amesema, tangu mwaka jana benki hiyo na mashirika mengine ya kifedha wanajitahidi kutekeleza hatua za kufungua mlango wa sekta ya kifedha zilizotangazwa na rais Xi Jinping wa China mwezi Aprili mwaka jana. Mpaka sasa, baadhi ya hatua zimetekelezwa.

    Bw. Yi Gang amesema Benki Kuu ya China pia imetangaza masharti ya kuingia kwenye sekta za kuchunguza uaminifu, kutathmini dhamana na malipo, na kuyatendea mashirika yenye mitaji ya nje kama ya ndani. Mashirika hayo yamepiga hatua halisi katika kuingia kwenye soko la China.

    Bw. Yi Gang pia amesema, katika siku za mbele Benki Kuu ya China itaendelea kuzidisha mageuzi na kufungua mlango katika sekta ya fedha.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako