• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Gor Mahia kusaka mbadala wa Tuyisenge

    (GMT+08:00) 2019-05-31 09:20:45

    Mwenyekiti wa Gor Mahia ya Kenya, Ambrose Rachier amesisitiza kuwa itawalazimu kumsaka nyota wa kigeni atakayejaza nafasi ya Jacques Tuyisenge haraka iwezekanavyo.

    Hii ni licha ya Paul Were wa Harambee Stars ambaye amepania kutoongeza mkataba wake na AFC Leopards huku akihusishwa kutua Gor Mahia.

    Tuyisenge mzaliwa wa Rwanda yuko mbioni kusaini mkataba wa kuichezea Petro Atletico ya Angola.

    Kwa mujibu wa Rachier, uongozi wa Gor Mahia unalenga kuanzisha mazungumzo na wachezaji wawili wa kigeni kwa matarajio kwamba mmoja wao atakubali kujiunga nao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako