• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Stars kuingia kambini kesho Jumamosi maandalizi ya AFCON

    (GMT+08:00) 2019-05-31 09:22:36

    Timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itaingia kambini kesho jumamosi katika hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam kujiandaa fainali za kombe la mataifa ya Afrika (AFCON) baadaye mwezi huu nchini Misri.

    kambi hiyo ya awali ya wiki moja kwa maandalizi hayo hadi Juni 7 kisha itasafiri kwenda Misri kwa michuano ya AFCON.

    Upande wa majirani zao, Kocha wa Harambee Stars ya Kenya Sebastian Migne ameita wachezaji 27 kuunda kikosi cha timu ya taifa ya Kenya kitakachoshiriki michuano hiyo. Harambee Stars itaondoka leo Ijumaa kuelekea Ufaransa kwa kambi ya wiki tatu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako