• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China na Russia zafanya mawasiliano mazuri ya kijeshi mwaka 2019

    (GMT+08:00) 2019-05-31 09:43:40

    Wizara ya Ulinzi wa Taifa ya China imesema majeshi ya China na Russia yamefanya ushirikiano wa kina mwaka huu katika kuadhimisha miaka 70 ya kuanzishwa kwa uhusiano wa kibalozi kati ya nchi hizo mbili. Ushirikiano huo ni pamoja na mawasiliano ya ngazi ya juu, mafunzo halisi ya vita na mashindano ya kijeshi, na pia majeshi hayo yamekuwa na uratibu mzuri katika shughuli za kimataifa. Wizara hiyo pia imeongeza kuwa majeshi ya nchi hizo mbili yametoa mchango muhimu katika kulinda amani ya dunia na utulivu wa kikanda.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako