• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • UM wapokea madai 37 ya udhalilishaji wa kingono dhidi ya wafanyakazi wake

  (GMT+08:00) 2019-05-31 09:44:33

  Umoja wa Mataifa umepokea madai 37 ya udhalilishaji wa kingono dhidi ya wafanyakazi wake katika robo ya kwanza ya mwaka huu. Naibu msemaji wa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Farhan Haq amesema katika madai hayo, kuna wahanga 49 wakiwemo wanawake 28, wasichana 11, mvulana mmoja, na wanaume saba. Msemaji huyo ameeleza kuwa juhudi zao za kupambana na vitendo hivyo zinaendelea kuimarishwa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako