• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu wanne wauawa na 20 wajeruhiwa katika milipuko sita nchini Iraq

    (GMT+08:00) 2019-05-31 09:44:53

    Watu wanne wameuawa na wengine 20 kujeruhiwa katika milipuko sita iliyotokea mjini Kirkuk, kaskazini mwa Iraq. Polisi ni miongoni mwa wahanga hao. Vikosi vya usalama vimefunga barabara zote zinazoelekea katika maeneo ilipotokea milipuko hiyo, na uchunguzi umeanza. Kwa miaka mingi, mvutano umekuwepo katika mji huo wanakoishi watu wa makabila mbalimbali, ambao ni sehemu ya maeneo yenye utata kati ya serikali kuu na eneo linalojiendesha kwa kiasi la Kurdistan.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako