• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Serikali ya Uganda imetenga Shs bilioni 290 ili kukuza ukuaji wa miti ya Bamboo.

    (GMT+08:00) 2019-05-31 19:35:38

    Serikali ya Uganda imetenga Shs bilioni 290 ili kukuza ukuaji wa miti ya Bamboo.

    Katika mpango mpya, serikali inataka kujenga njia mbadala ya kuni, malighafi kwa ajili ya kutengeneza karatasi, kuongeza misitu ili kushughulikia mabadiliko ya hali ya hewa na pia kuuza nje.

    Mpango huu unapanga kuongeza ukuaji wa bamboo kwa ekari 375,000 katika miaka 10 ijayo ambayo inatarajiwa kuleta $ million 200 (karibu Shs750b) katika mapato.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako