• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania: Tanzania itauzia Zimbabwe jumla ya tani 700,000 za mahindi

    (GMT+08:00) 2019-05-31 19:36:01

    Tanzania itauzia Zimbabwe jumla ya tani 700,000 za mahindi kutokana na upungufu wa chakula ambayo imekuwa ikishuhudiwa.

    Dr Magufuli aliiambia mwenyeji wake kuwa Tanzania ilikuwa na tani milioni 3.3 ya chakula cha ziada baada ya kuvuna tani milioni 16.8 na mahitaji ya nchi hayazidi tani milioni 13.5.

    Rais Emmerson Mnangagwa, amemhakikishia mgeni wake utawala wake utaongeza ushirikiano wa kiuchumi kati ya nchi hizo mbili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako