• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yainyooshea kidole Marekani kwa kuvunja ahadi mara tatu katika mazungumzo ya biashara

    (GMT+08:00) 2019-06-02 11:20:45

    Waraka uliotolewa leo na serikali ya China umenafichua jinsi Marekani ilivyovunja ahadi zake, tangu toka mazungumzo ya kiuchumi na kibiashara kati ya China na Marekani yaanze mwezi Februari mwaka jana.

    Kwa mujibu wa waraka huo kuhusu msimamo wa China katika mazungumzo kati ya China na Marekani, mwezi Machi mwaka 2018, mwezi mmoja tu baada ytoka mazungumzo hayo kuanzayaanze, serikali ya Marekani ilitoa "ripoti ya uchunguzi 301", ikitangaza kuongeza asilimia 25 ya ushuru wa forodha dhidi ya bidhaa za China zenye thamani ya dola bilioni 50 za kimarekani. Mwezi Mei mwaka 2018, siku 10 tu baada ya China na Marekani kutoa taarifa ya pamoja yenye ikiahidiana ahadi ya kutofanya vita vya biashara, serikali ya Marekani ilivunja ahadi hiyo na kutangaza kuwa itaendelea na hatua zake za kuongeza ushuru wa forodha. Mwezi Mei mwaka huu, Marekani iliialumu China bila msingi kuwawamba China ilibadilisha msimamo wake, na kuikiongeza kiwango cha ushuru wa forodha kutoka asilimia 10 hadi 25 dhidi ya bidhaa za China zenye thamani ya dola bilioni 200, pia ilitangaza kuanzisha utaratibu wa kuongeza ushuru wa forodha dhidi ya bidhaa za China zilizobaki zenye thamani ya dola bilioni 300.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako