• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China ina imani ya kubadili changamoto kuwa fursa na itaendelea kuimarisha mageuzi na kufungua mlango

    (GMT+08:00) 2019-06-02 11:51:50

    China imetoa waraka kuhusu msimamo wake katika mgogoro wa kibiashara kati yake na Marekani ikisema itafanya vizuri mambo yake bila kujali jinsi hali inavyobadilika. China inayofungua mlango zaidi itawasiliana vizuri na dunia, na kuzifanya China na dunia ziendane na ziwe na ustawi zaidi.

    Waraka huo umesema kujiendeleza kwa mageuzi na ufunguaji mlango, ni mbinu ya kimsingi ya China kukabiliana na mgogoro wa kibiashara. China itaendelea kuimarisha mageuzi na ufunguaji mlango, na kuchukua hatua mbalimbali kubwa ikiwemo kupanua maeneo yanayoruhusiwa kampuni za nje kuingia, kuongeza nguvu ya ushirikiano wa kimataifa katika kulinda haki miliki za ubunifu, kuongeza bidhaa na huduma zinazoagizwa kutoka nje, na kufanya kwa ufanisi uratibu wa sera za uchumi wa jumla wa kimataifa, na kutilia mkazo utekelezaji wa sera za kufungua mlango.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako