• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China haikubali raslimali yake itumiwe kuzuia maendeleo ya China

    (GMT+08:00) 2019-06-02 17:48:33

    Naibu waziri wa biashara wa China Bw. Wang Shouwen leo amezungumzia suali kuhusu kama China itaweka ukomo kwenye uuzaji wa madini ya udongo adimu nje.

    Amesema China ikiwa ni nchi yenye utajiri mkubwa zaidi wa madini ya udongo adimu duniani, inapenda kukidhi mahitaji ya haki ya nchi nyingine ya madini hayo. Hata hivyo, amesisitiza kuwa China haikubali kamwe nchi nyingine kuzuia maendeleo ya China kwa kutumia bidhaa zinazozalishwa kwa udongo adimu kutoka China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako