• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Azam FC hiyooo kimataifa, Chirwa akoleza ushindi

    (GMT+08:00) 2019-06-03 08:07:05
    Mshambuliaji wa kimataifa wa Azam FC, Obrey Chirwa ameibuka shujaa katika mchezo wa fainali ya kombe la FA dhidi ya Lipuli fc baada ya kuifungia timu hiyo goli la ushindi dakika ya 64, mechi ilipigwa uwanja wa Ilulu Lindi Tanzania.

    Ushindi huo, umeipa Azam nafasi ya kushiriki michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika msimu ujao. Huku Simba Sports klabu yenyewe itashiriki michuano ya Klabu Bingwa Afrika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako