• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • RAGA: Shujaa yatinga 8 bora michuano ya raga ya dunia jijini Paris

    (GMT+08:00) 2019-06-03 08:07:22
    Yalikuwa ni maombi kwa wakenya kwa timu yao ya taifa ya raga kwa wachezaji saba kila upande (Shujaa)kuingia hatua ya robo fainali ya mashindano ya dunia ya raga ya wachezaji saba kila upande yanayoendelea jijini Paris Ufaransa.

    Shujaa imefanikiwa kutinga robo fainali hiyo baada ya kuichapa Wales miguso 26-21 kwenye mechi ya mwisho ya kundi B iliyochezwa mwishoni mwa wikiendi.

    Ushindi wa Shujaa dhidi ya Wales na Scotland kuwabwaga Japan, kumewahakikishia Kenya kuendelea na michuano ya raga ya dunia kwa mara ya 18 mfululizo tangu msimu wa 2002-2003, sasa haiwezi kufikiwa na Japan.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako