• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Kuelekea AFCON 2019- Senegal yataja kikosi Sadio Mane ndani

    (GMT+08:00) 2019-06-03 08:07:43
    Senegal imepangwa kundi C katika michuano ya mataifa ya Afrika (AFCON 2019) itakayoanza kutimua vumbi Juni 21 nchini Misri, ambapo mechi ya kwanza itakutana na timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars).

    Wakali Saido Mane anayekipiga klabu ya Liverpool, Idrisa Gueye wa Everton na Cheikhou Kouyate wa Crystal Palace za Uingereza ni baadhi ya wachezaji wakubwa katika kikosi hicho cha Lions of Teranga cha wachezaji 25 waliotajwa na kocha wa timu hiyo Aliou Cisse.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako