• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kwa kila Sh100 Kenya inakusanya kwa ushuru, sh130 inatumia kufadhili mahitaji yake ya bajeti

    (GMT+08:00) 2019-06-03 20:00:25
    Kwa kila Sh100 Kenya inakusanya kwa ushuru, sh130 inatumia kufadhili mahitaji yake ya bajeti.

    Uchunguzi wa data ya hivi karibuni ya matumizi iliyochapishwa na Benki Kuu ya Kenya (CBK) inaonyesha kwamba Kenya imekuwa ikitumia angalau mara 1.3 zaidi ya mapato yake yote katika miezi 12 hadi Agosti 2018.

    Rais Uhuru Kenyatta alirithi deni la umma la Sh trilioni 1.7 mwezi Machi 2013 kutoka kwa utawala wa Mwai Kibaki.

    Kwa sasa deni hiyo imekua mara tatu katika kipindi cha miaka mitano iliyopita Sh trilioni 5.1 .

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako