• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Nairobi imetajwa kuwa Eneo nzuri la Biashara baada ya jumba la kitaifa la (KICC) Kupata tuzo ya WTA

    (GMT+08:00) 2019-06-03 20:00:42

    Nairobi imetajwa kuwa Eneo nzuri la Biashara baada ya jumba la kitaifa la (KICC) Kupata tuzo ya WTA kama sehemu nzuri ya mikutano Afrika.

    KICC imeshinda wateule mbalimbali katika kikundi ikiwa ni pamoja na Kituo cha mikutano cha Cairo huko Misri, Kituo cha Mikutanoo cha Cape Town nchini Afrika Kusini, Kituo cha mikutano cha Durban huko Afrika Kusini, Kituo cha mikutano cha Kigali nchini Rwanda.

    Hii ni mara ya kwanza KICC kushiriki katika tuzo na kuchukua tuzo kutoka Durban ambayo imeiweka kwa miaka tisa iliyopita.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako