• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Benki Kuu ya Kenya (CBK) imeweka wazi noti mpya kama sehemu ya kuzuia udanganyifu na uvunjaji wa fedha

    (GMT+08:00) 2019-06-03 20:01:00
    Benki Kuu ya Kenya (CBK) imeweka wazi noti mpya kama sehemu ya kuzuia udanganyifu na uvunjaji wa fedha.

    Noti mpya iliyotolewa na Gavana wa Benki kuu ya Kenya CBK Patrick Njoroge wakati wa maadhimisho ya Siku ya Madaraka uliofanyika kwenye uwanja wa Narok uliofanyika na Rais Uhuru Kenyatta.

    Gavana wa CBK amesema noti ya zamani ya Sh1000 itaondolewa Oktoba 1.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako