• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa usafiri na uchukuzi duniani utakaofanyika Beijing kuhimiza ushirikiano wa nchi za "Ukanda Mmoja, Njia Moja"

    (GMT+08:00) 2019-06-03 20:43:58

    Mkutano na waandishi wa habari wa usafiri na uchukuzi duniani umefanyika leo, na kutoa taarifa kuwa mkutano huo utafanyika tarehe 13 hadi 16 mwezi Juni ambao kauli mbiu yake itakuwa "mazingira safi" kwa matumizi ya akili bandia kuongoza usafiri wa siku za baadaye, na kuitikia wito na kutimiza pendekezo la "Ukanda Mmoja, Njia Moja" na kuhimiza ushirikiano wa nchi husika.

    Naibu mkuu wa idara ya utaalamu kwenye Shirikisho la sayansi na teknolojia la China Bw. Chen Rui amesema mkutano huo utaimarisha mawasiliano na ushirikiano wa kimataifa katika sekta ya usafiri na uchukuzi, kuongeza ushirikiano na maendeleo ya pamoja, na kukusanya maliasili ya hali ya juu kwenye sekta hiyo, na kuweka mazingira ya uvumbuzi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako