• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Robo fainali ya kombe la shirikisho nchini DRC kupigwa Juni 8 uwanja wa Martyrs

    (GMT+08:00) 2019-06-04 07:53:58
    Robo fainali ya 55 ya michuano ya kombe la shirikisho nchini DRC itapigwa Juni 8 kwenye uwanja wa Martyrs kwa kuzikutanisha timu za AS Malole itakapovaana na Kananga FC, huku Renaissance Congo yenyewe itakutana na Kinshasa FC.

    Mchezo mwingine wa robo fainali utapigwa Jumapili Juni 9 baina ya Kinshasa Youth Sports itakapokutana na OC Bukavu Dawa, huku AC Real Kin watamenyana na AS Maniema Union.

    Michuano hiyo ya mtoano, bingwa atungana na timu ya Motema Pembe kuwakilisha DRC katika michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako