• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Ngao ya jamii kupigwa Instabul Uturuki Agosti

    (GMT+08:00) 2019-06-04 07:56:19
    Mechi ya ngao ya jamii wengine huita ngao ya hisani kuashiria kuanza kwa msimu mpya wa soka barani Ulaya, UEFA Super Cup itafanyika Agosti 14 jijini Instabul Uturuki.

    Mabingwa wa Ulaya, Liverpool watakuwa wenyeji wa mabingwa wa ligi ya Ulaya (EUROPA League) Chelsea.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako