• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Neymar akanusha taarifa ya kashfa ya ubakaji nchini Ufaransa

    (GMT+08:00) 2019-06-04 07:56:37
    Nyota wa Brazil na PSG Neymar ametumia akaunti yake ya Instagram kukanusha tuhuma za kumbaka binti mmoja Jijini Paris mwezi uliopita, Neymar anatuhumiwa kumbaka msichana ambae walifahamiana kupitia Instagram na kukutana kwenye Hoteli ya kifahari.

    Mwanamke huyo aliyetokea Brazili amedai Neymar alimbaka katika hoteli moja iliyopo Paris, Ufaransa‬. Kupitia ukurasa wake huo wa Instagram, Neymar ameeleza kuwa, amesikitishwa na kuumizwa sana kwa tuhuma hizo na kuwa mwanasheria wake analifanyia kazi suala hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako