• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Kenya yaongoza EA kwa utoaji huduma za umeme

    (GMT+08:00) 2019-06-04 19:53:18
    Ripoti mpya ya benki ya dunia inaonyesha kuwa Kenya inaongeza kwenye kanda ya Afrika mashariki katika utoaji wa huduma za umeme.

    Pia ripoti hiyo imebaini kuwa Kenya imeongeza kwa kiwango kikubwa upatikanaji wa umeme kati ya mwaka 2010 na 2017.

    Kwa sasa asilimia 75 ya wakeya wana huduma za umeme ikilinganishwa na asilimia 22 tu ya Uganda 32 ya Tanzania na 34 ya Rwanda.

    Kenya inapanga kufikisha huduma za umeme kwa watu wote ifikapo mwaka 2022.

    Hata hivyo ripoti hiyo inaonyesha kuwa watu milioni 573 barani Afrika wanasalia bila huduma za umeme.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako