• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Rwanda yasaka wawekezaji zaidi kuwekeza kwenye sekta ya nyumba

    (GMT+08:00) 2019-06-04 19:53:38
    Serikali ya Rwanda inatafuta wawekezaji zaidi kuwekeza kwenye miradi ya ujenzi wa nyumba ili kufikia lengo la mahitaji ya nyumba ya 310,000 kila mwaka ifikapo 2032.

    Waziri wa miundo mbinu Claver Gatete amesema hayo wakati akizindua ujenzi wa nyumba 3,000 katika eneo la Nyamirambo.

    Mradi huo ni ubia kati ya benki ya maendeleo ya Afrika na hazina ya kujenga nyumba ya Shelter Afrique kwa gharama ya dola milioni 50.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako