• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ubalozi kutangaza utalii, nchini China

    (GMT+08:00) 2019-06-04 19:54:22
    Ubalozi wa Tanzania nchini China umeingia makubaliano na kituo cha runinga cha Hainan kutengeneza kipindi maalumu kutangaza bidhaa, utamaduni na utalii vilivyopo wa Tanzania.

    Uandaaji wa matangazo hayo utafanywa mwezi ujao na matangazo husika kurushwa Novemba kwa watazamani zaidi ya milioni 200 wa runinga hiyo watakaopata nafasi ya kuifamu zaidi Tanzania na mema iliyonayo katika maeneo yaliyoiainishwa.

    Makubaliano hayo yameafikiwa leo, Juni 3, 2019 jijini Beijing kwenye mkutano wa Balozi Mbelwa Kairuki na mkurugenzi wa vipindi wa televisheni hiyo, Xie Xiao aliyeahidi kushiriki baadhi ya matukio ikiwamo maonyesho ya vivutio vya utalii (tourism roadshow) yatakayofanyika Juni 19 na maadhimisho ya Siku ya kahawa ya Tanzania (Tanzania Day - coffee cupping) yatakayofanyika Juni 25.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako