• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Nchi 53 za Afrika kuudhuria maonesho China

    (GMT+08:00) 2019-06-04 19:55:43

    Nchi 53 za Afrika zinatarajiwa kuudhuria maonesho ya kwanza ya kiuchumi na biashara yatakayofanyika Juni 27-29 katika mkoa wa Hunan nchini China.

    Naibu Gavana wa Hunan He Baoxiang amesema mashirika ya kimataifa yakiwemo lile la chakula duniani na shirika la umoja wa mataifa la maendeleo ya viwanda pia yatatuma wawakilishi kwenye manesho hayo.

    Maonesho hayo yatakayofanyika mjini Changsha, yanatarajiw kuleta pamoja wageni wan chi za nje wapatao 1,500 na wenyeji 5,000.

    Biashara kati ya China na Afrika ilifikia dola za kimarkani bilioni 204 mwaka 2018 ikiwa ni ongezeko la asilimia 20 kutoka mwaka uliotangulia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako